Searching...
Jumapili, 28 Julai 2013

MOURINHO AMKUBALI MATA-AMWAGIIA SIFA LUKUKI


Mata fits into my new Blues-print, insists MourinhoJUAN MATA-CHELSEA
Kocha mreno wa klabu ya Chelsea mwenye maneno mengi Jose Mourinho ameweka wazi kwamba Mchezaji wake wa kimataifa Mhispania  Juan Mata yupo kamili na anamtarajia kuwa katika kikosi chake cha kwanza msimu huu.
‘Halina ubishi kwamba yupo fiti kwaajili ya msimu mpya ,’ alisema Mourinho .
‘tutajaribu kuhakikisha anafanya vizuri"
‘Nilianza na (Arjen) Robben na (Damien) Duff, alafu (Goran) Pandev nikiwa Inter, kisha (Angel) Di Maria pamoja na (Mesut) Ozil nikiwa Madrid
‘ninapenda washambuliaji wa pembeni ambao wanaweza wakapenya wakiwa katika mchezo na kisha kutoa pasi na Juan Mata ndiye mchezaji pekee tuliyenaye hapa klabuni ambaye akafanya hivyo bila makosa.
‘kushoto tunaye (Eden) Hazard, Victor Moses, Kevin De Bruyne, Andre Schurrle. na Juan anakuwa na raha sana akicheza namba kumi"alimalizia Mourinho kumwagia sifa Mata.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!