Searching...
Jumatatu, 24 Juni 2013

WATU NANE WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MBEYA

DALADALA YENYE NAMBA YA USAJILI T 381 AEB IKIWA IMEHARIBIKA UPANDE WA SITI YA ABIRIA NA MLANGO BAADA YA KUTOKEA AJALI YA GARI HIYO NA GARI NDOGO KATIKA ENEO LA UYOLE JIJINI MBEYA LEO AMBAPO ABIRIA ZAIDI YA NANE WALINUSURIKA KIFO.
GARI NDOGO LIKIWA LIMEJICHOMA KICHAKANI BAADA YA AJALI HIYO.
HAPA IKIWA IMEHARIBIKA VIBAYA UPANDE WA ABIRIA.
DALADALA IKIWA IMEHARIBIKA KWA SEHEMU KUBWA UPANDE WA KUSHOTO.
HUKU NDIKO UPANDE WA DEREVA WA DALADALA HIYO.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!