…Viongozi mbalimbali wakiangalia vijana wa JKT hawapo pichani wakionyesha jinsi ya kukabiliana na vikwazo mbalimbali wakati wa vita.
... Hapa wakiwa katika zoezi la kufunga na kufungua silaha kwa haraka.
...hapa wanapita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa pole.
...mguu sawaaaaaa.
…mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa mkoa wa kigoma luteni kanali mstaafu Issa Machibya akikagua gwaride la heshima.
... Mkuu wa mkoa wa kigoma luten kanal mstaafu Issa Machibya akikagua gwaride la vijana wa JKT kwa mujibu wa sheria waliomaliza mafunzo katika kambi ya Bulombora kigoma.
Picha kwa hisani ya DEOGRATIUS NSOKOLO
0 comments:
Chapisha Maoni