Searching...
Jumatatu, 17 Juni 2013

ANGALIA KIZAA ZAA CHA MACHANGUDOA DAR ES SALAAM MCHANA KWEUPEEEE



Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada poa wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!