Katibu Mkuu, wa CCM, Abdlrahman Kinana akiongozwa na Katibu wa wabunge wa CCM, Jenista Mhagama kuingia kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCM juni 29, 2013.Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje ya CCM, Dr Asha Rose Migiro akisalimaina na Mbumge wa Kondoa Kusini wakati alipowasili kwenye ukumbiu wa Msekwa mjini Dodoma Juni 29, kuhushuria kikao cha wabunge wa CCM. Katikati ni Mbunge wa Mpwapwa ns Nsibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory heu;Mkurugenzi wa Idara ya mambo ya Nje ya CCM, Dr.Asha Rose Migiro akikaribishwa na Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCm Juni 29, 2013. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Vita KawawaWaziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCM Juni 29, 2013. Kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa msekwa mjini Dodoma Juni 29, 2013.Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla ya kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa msekwa mjini Dodoma Juni 29, 2013.
Wabunge wa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wao, waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipozungumza katika kikao chao kwenye ukumbiwa Msekwa mjini Dodoma Juni 29, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Jumapili, 30 Juni 2013
Related Posts
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni