WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE
19/06/2013.
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Tanga, Lindi na
Mtwara ]:
|
Hali ya mawingu kiasi mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dar es Salaam
na Pwani]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na
Tabora] :
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Morogoro
na Singida ]:
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
Tahadhari: Upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na
mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 yanatarajiwa katika maeneo ya ukanda wote wa Pwani.
Tafadhali chukua tahadhari.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
12:30
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:13
|
DODOMA
|
27°C
|
12:29
|
KIGOMA
|
28°C
|
12:54
|
MBEYA
|
20°C
|
12:32
|
MWANZA
|
29°C
|
12:45
|
TABORA
|
28°C
|
12:42
|
TANGA |
29°C
|
12:17
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:13
|
PEMBA
|
28°C
|
12:17
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:20
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini
kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa
Pwani yote.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa .
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumatano 19/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 19/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni