
Mtanzania aliyejulikana kwa jina moja la Sonia anayedaiwa kufariki dunia katika tukio hilo.
Ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti
yakamkuta dada huyu huko,kweli drugs noumaaa Jamani jamani msiwaige wa Nigeria
jamani!!hawa wanaijeria watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza
taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari
hii kinasema alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka
sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo
lake na kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo)
kweli haya majanga jamani kataeni msiwe
warahisi kukubali vitu kwa sababu ya ugumu wa maisha, hakuna permanent
situation so hicho kipindi kigumu kitapita tu, kila siku nawaletea
mifano na uthibitisho kwamba hivyo vitu ni noma lakini hamkomi.
CHANZO http://www.thechoicetz.com
kupitia Demasho blog.
0 comments:
Chapisha Maoni