Searching...
Alhamisi, 6 Juni 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO IJUMAA JUNE 07,2013.




           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 07/06/2013.

[Mkoa wa Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya  Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya  Mtwara na Lindi]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua  nyepesi katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua

[Mikoa ya Iringa, Mbeya , Morogoro na Ruvuma]:
[Mikoa ya Kagera  , Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Tabora] :
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               24°C               
12:28
D'SALAAM
          31°C           
12:11
DODOMA
28°C
12:27
KIGOMA           
30°C
12:53
MBEYA
24°C
12:31
MWANZA
31°C
12:43
TABORA
30°C
12:41
TANGA
29°C
12:16
ZANZIBAR
           29°C           
12:11
PEMBA
           29°C           
12:16
MOROGORO
           30°C           
12:18

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani  yote .

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi  hadi Makubwa.

Matazamio kwa usiku wa leo Ijumaa 07/06/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 07/06/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.



0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!