WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 11/06/2013.
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya mawingu kiasi, Mvua
katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
|
[Mkoa wa Mara]:
|
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na
Tabora] :
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
[Mikoa ya Mtwara
na Lindi]:
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi
vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
12:30
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:13
|
DODOMA
|
27°C
|
12:29
|
KIGOMA
|
29°C
|
12:54
|
MBEYA
|
24°C
|
12:32
|
MWANZA
|
32°C
|
12:45
|
TABORA
|
30°C
|
12:42
|
TANGA |
29°C
|
12:17
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
12:13
|
PEMBA
|
29°C
|
12:17
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:20
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya
km 40 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki: kwa Pwani
ya
kusini. na kwa
kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani ya kaskazini
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumanne 11/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 11/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni