WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE
21/06/2013.
[Mikoa ya Dar es Salaam
,Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
|
Hali ya mawingu kiasi mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mkoa wa Mara]:
|
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na
Tabora] :
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Morogoro
na Singida ]:
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara
]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
Tahadhari:
Upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na
mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 yanatarajiwa katika maeneo ya ukanda wote wa Pwani.
Tafadhali chukua tahadhari.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
12:32
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:14
|
DODOMA
|
27°C
|
12:29
|
KIGOMA
|
29°C
|
12:55
|
MBEYA
|
21°C
|
12:34
|
MWANZA
|
29°C
|
12:49
|
TABORA
|
28°C
|
12:43
|
TANGA |
30°C
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:14
|
PEMBA
|
27°C
|
12:18
|
MOROGORO
|
29°C
|
12:21
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki
kwa kasi ya km 30 kwa saa katika
Pwani
Kaskazini na kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa pwani ya kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi
hadi makubwa
Matazamio kwa
usiku wa leo Ijumaa 21/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 21/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni