Searching...
Jumapili, 16 Juni 2013

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHAMBANI PEMBA CUF WAENDELEZA UBABE,CCM HOI,CHADEMA WATUPWA MBALI

Chama cha wananchi CUF kimeendeleza ubabe wake huko zanzibar baada ya mgombea wake ambaye kwa sasa ni mheshimiwa mtarajiwa baadaye atakapoapishwa bwana YUSSUF SALUM HUSSEIN kuibuka kidedea katika uchaguzi mdogo kufuatia kifo cha aliyekua mgombea wa  jimbo hilo marehemu Salim Hemed kufariki dunia kwa shinikizo la damu mapema mwaka huu
haya hapa ndiyo matokeo kamili

CHADEMA         12       SITY USSY SHAIBU
CCM                    402     MASAR HASSAN SAID
CUF                     2708   YUSUPH SAKUM HUSSEIN
ADC                    114      SAID MIRAJ ABDALLAH

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!