WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 17/06/2013.
| [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]: [Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara ]: [Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Tabora] : [Mikoa ya Iringa, Mbeya na Ruvuma]: [Mikoa ya Dodoma na Singida ]: | | Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua. |
Tahadhari: Upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 yanatarajiwa katika maeneo ya ukanda wote wa Pwani. Tafadhali chukua tahadhari.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
| MJI | Kiwango cha juu cha joto | Machweo (Saa) |
| ARUSHA | 24°C | 12:30 |
| D'SALAAM | 31°C | 12:13 |
| DODOMA | 28°C | 12:29 |
| KIGOMA | 29°C | 12:54 |
| MBEYA | 24°C | 12:32 |
| MWANZA | 31°C | 12:45 |
| TABORA | 31°C | 12:42 |
TANGA | 29°C | 12:17 |
| ZANZIBAR | 30°C | 12:13 |
| PEMBA | 29°C | 12:17 |
| MOROGORO | 30°C | 12:20 |
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini; kwa kasi ya km 50 kwa saa
kwa Pwani ya kaskazini na kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa pwani ya kusini..
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatatu 17/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 17/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni