AUNT EZEKIEL
WAKATI vifo vikizidi kuwatafuna wasanii, staa wa sinema za Kibongo,
Aunt Ezekiel alifunguka hayo juzikati jijini Dar ambapo alibainisha kuwa
akijitazama mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa hawezi kufikisha
miaka 40.
“Daah! Sijielewi kabisa yaani kwa jinsi ambavyo
najiona, nikifikisha miaka 40 ni bahati aisee, dunia sasa imebadilika
sana,” alisema Aunt.
Chanzo na D'JARO ARUNGU BLOG
Chanzo na D'JARO ARUNGU BLOG
0 comments:
Chapisha Maoni