LIONEL MESS
Mshambuliaji nyota wa klabu ya Barcelona ambaye pia ndiye mchezaji bora wa dunia kwa sasa muajentina
Lionel Messi kitendo cha aliyekuwa kocha wa madrid mreno Jose Mourinho kurejea kwenye klabu yake ya zamani ya Chelsea bado haitakuwa sababu ya klabu hoyo pinzani kutetereka kwani kocha mpya wa Madrid Carlo Ancelotti anacho kiwango sawa na Mourinho ila Chelsea watakuwa bora zaidi kuliko ilivyokuwa kipindi cha kwanza cha Mourinho kuifundisha klabu hiyo.
JOSE MOURINHO.
"nafikiri ligi ya Hispania ni ngumu na itaendelea kuwa ngumu" alisema Messi,
"tutaendelea kupambana na timu imara na wachezaji wazuri kama Real
Madrid. Mourinho alikuwa kocha mzuri lakini tunajua Ancelotti ni mzuri pia,ninachokiamini ni kwamba Mourinho atakuwa na mafanikio makubwa Chelsea kwasababu hakuna ubishi kwamba ni kocha mzuri"
Alipoulizwa kuhusu ujio wa Neymar Barcelona,Messi alisema
"ninajua Neymarni mchezaji mzuri ambaye ataisaidia sana Barcelona" alisema Messi. "Mungu akipenda,tutucheza wote Barcelona,
NEYMAR
0 comments:
Chapisha Maoni