Mtangazaji
wa televisheni ya Chanel 5 EATV Joyce Kiria akiwa amewashikilia watoto
wake Lingatone Kileo kulia na Lincorn wakati alipozungumza na waandishi
wa habari katika mtaa wa Samora na kupaza sauti kuomba msaada kwa Rais
Jakaya Kikwete na watanzania kwa ujumla ili kusaidiwa na kujua aliko
mume wake Henry Kileo ambaye inadaiwa amepelekwa Igunga akituhumiwa na
kesi, Joyce Kiria amesema mpaka sasa hajaambiwa kama mume wake yuko wapi
hivyo hata kama ana makosa anaomba afahamishwe kwani hajui
kinachoendelea mpaka sasa
Joyce
Kiria akendelea kujibu maswali kadhaa ya wanahabari wakati akizungumza
nao leo jijini dar es salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni