Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa
na marafiki wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa
CCM, Hadija Kopa kufuatia kifo cha
mumewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita na kuzikwa jijini Dar es
Salaam. Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi na (kulia) ni mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya taifa CCM, Ridhwani Kikwete. (Picha na Freddy Maro)
Jumapili, 9 Juni 2013
Related Posts
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni