MSHINDI WA MAISHA PLUS-JACK DUSTAN(KUSHOTO)
Niliwahi kumuuliza babu yangu kwamba WAHENGA ni akina naniii!!! akacheka sana akaniambia hata yeye aliwahi kumuuliza babu yake na hakumpa jibu....sasa mpaka leo sina jibu ila moja ya semi zao ni ...Ukistaajabu ya MUSA utayaona ya Firauni...msichanano linaloelimisha na kufurahisha la MAISHA PLUS Jack
Dustan hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya
kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake
nyeti huku akiwa hajafunga kofuli kitendo kilichopelekea kuacha nyeti zake wazi nje kweupe huku akionekana kutojali kuzianika nyeti zake
Tukio hilo lilinaswa na mwandishi wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro,
Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa
Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake
halikufahamika.
hawa ndio wasanii wetu wa bongo

0 comments:
Chapisha Maoni