BAADHI ya
wananchi wa eneo la Kichangani mkoani Morogoro wakishuhudia gari la
kanisa likiwa nyang'a nya baada ya kuigonga Treni ya abiri iliyokuwa
ikitokea Tabora kuelekea jijini Dar es salaam.
Tukio
hilo limetokea leo ambapo mchungaji aliyekua akiendesha gari hilo
alikimbia,ambapo habari zilizopatikana eneo la tukio zilidai kwamba
mtumishi huyo wa mungu alikututwa na sekeskeke hilo baada ya kufunga
vioo vya gari lake huku akisikiliza simu hivyo hakuweza kuski honi
nyingi zilizopigwa na Treni hiyo ilipofika kwenye makutano ya barabara
hiyo, ya Treni na gari

0 comments:
Chapisha Maoni