Searching...
Ijumaa, 14 Juni 2013

BALOZI WA UHOLANZI NCHINI ATUA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA RAIS DR.MOHAMED SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchiniTanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kumuaga Raisleo asubuhi baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchiniTanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhikuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Uholanzi nchiniTanzania Dr.Ad Koekkoek,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar, kumuaga Raisbaada kwa kumaliza muda wake wa kazi nchini leo asubuhi.
[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!