JUU NA CHINI WAHUSIKA WAKIFUNGA JENEZA BAADA YA SHUGHULI ZA KUUGA NWILI WA NGWEA KUKAMILIKA TAYARI KUANZA SAFARI YA KUELEKEA MOROGORO KWA MAZIKO.
JUU NA CHINI BAADHI YA NDUGU NA MARAFIKI WALIOJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DSM KUMUAGA NGWEA WAKIWA KATIKA HALI YA MAJONZI MAKUBWA,HUKU WAANDISHI WA HABARI WAKICHUKUA PICHA ZA KILA TUKIO LILILOKUWA LIKITOKEA VIWANJANI HAPO.
HAPA WANAKAMATI WAKIJADILI JAMBO
HILI NDILO JUKWAA LILILOTUMIKA
SEHEMU YA UMATI WA WATU WALIOJITOKEZA KUMUAGA ALBART MANGWEA
WANAKAMATI WAKIWA JUKWAANI
HAPA SHUGHULI YA KUAGA IMEISHA NA MSAFARA WA KUELEKEA MKOANI MOROGORO KWAAJILI YA MAZIKO KESHO IKAANZA CHINI YA ESCORT KALI YA JESHI LA POLISI.
....HAPA NI KAMA WATU HAWAAMINI KAMA NGWEA HAWATAMUONA TENA...KWA HAKIKA INAUMA SANAAA...ILA KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA...KILA LA KHEI NA MFIKE SALAMA MOROGORO...
PICHA KWA HISANI YA DJ BIKE
0 comments:
Chapisha Maoni