Searching...
Jumapili, 30 Juni 2013

ANGALIA JINSI SHOW YA KILI MUSIC AWARDS ILIVYOWATEKA WAGOSI WA KAYA TANGA


 meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George kavishe akiongea na wanahabari kabla ya kuanza kwa tamasha la Kili Music Tour katika viwanja vya Mkwakwani jana usiku
 SHOW LOVE: Henry Mdimu na Dada Esther wa Frontline Novelli
Nyuma ya jukwaa a.k.a Backstage
 Dullah kutoka EATV ndio alikuwa MC
 ...kutoka nyuma...
 Rachel na Roma Mkatoliki
 Unaona?
 ...nimekuuliza umeona?
 ...sasa je?
 Wapiga picha wetu
 Rachel akiwajibika katika jukwaa hilo
 ..aga...
 Le Grand show...
 Wadau wa Kili wakifurahia Tamasha
Wary wanamtaja huyu kuwa mwanamuziki bora kabisa wa baadae
Majangaaaaaa
Ilipigwa bonge ya show jana Mkwakwani
Shughuli ya Snura ilikuwa kiboko
Ikaja zamu ya Ally Kibba
Dushelele
..tena...
...hapo sasa...
Akaja Kala Jeremiah


Mzuka wa Hip Hop kama
mwanaFA akifanya show ya kitemi mkoani kwake
Nini tena?
yalaiti, ...live
Roma akiwaimbisha watanga tanga
Mdimu, Hilton na Esther
Jizzle
Huh...
Nyomi lake sasa mwanangu mwenyewe...
BackStage
Picha Zote na Othman Michuzi

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!