Searching...
Alhamisi, 27 Juni 2013

ANGALIA JINSI OBAMA ALIVYOPOKELEWA NCHINI SENEGAL

 
OBAMA AKIELEKEA KUKAGUA GWALIDE AKIWA AMEONGOZA NA MKEWAKE 
HAPA AKIKAGUA GWARIDEPICHA YA PAMOJA NA MWENYEJI WAKE IKIJUMUISHA NA WAKE ZAO.WAKE WA MARAIS WAKIONGEA JAMBO 
NA WAO WAKIONGEA YAO.MAZUNGUMZAO NA VIONGOZI MBALIMBALIVIONGOZI HAO WAKIWA KATIKA MEZA MAALUM ZA KUHUTUBIA.WANANCHI WA SENEGAL NA BENDERA ZA NCHI YAO NA MAREKANI WAKATI WA MAPOKEZI YA RAIS ABAMA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!