Searching...
Alhamisi, 20 Juni 2013

AMA KWELI UDEREVA KAZI...GARI YADUMBUKUIA MTARONI

  Hili ni gari aina ya TOYOTA lililotumbukia mtaroni


   
Baadhi ya wananchi wa kishangaa ajali hiyotokea jana mita ya saa mbili usiku
 Wananchi wakilinasua gari hilo kutoka mtaroni
 Ajali hii ilitokea mida ya saa mbili usiku jana ambapo mmiliki wake hajafahamika mpaka tunaingia mitamboni. Ajali hiyo haikusababisha madhara makubwa ya kujeruhi au kuua mtu yeyote. Wananchi wameipongeza sana serikali kwa ujenzi wa barabara unaoendelea hivi sasa na kuwaasa madereva kuilinda barabara hiyo kwa kuwa makini pindi waendeshapo Magari yao

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!