Searching...
Alhamisi, 2 Mei 2013

WAZIRI MKUU AMLILIA WAZIRI WA AWAMU YA KWANZA.


 Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiweka saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri wa zamani wa serikali ya Muungano wa Tanzania,Tandau, nyumbani kwa marehemu, Magomeni jijini Dar es salaam, Mai 2,2013.
Waziri Mkuu mh. Mizengo Pinda akizungumzana  na mtoto wa kwanza wa Waziri wa Kwanza wa Serikali ya Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania,Tandau wakati alipokwenda kuhani msiba  wa Waziri  huyo wa zamani aliyefariki dunia hivi karibuni, nyumbani kwa maremu, Magomeni jijini Dar es salaam Mei 2, 2013.Picha na Ofis ya Waziri Mkuu


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!