Katibu
Tawala wa Wilaya ya Misungwi Elius Nyakia akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa mnara mpya wa Vodacom katika kijiji cha Lukanga Wilaya
ya Misungwi mkoani Mwanza. Anayemsaidia kukata utepe huo ni Mkuu wa
Vodacom Kanda ya Ziwa Herieth Koka. Wanaoshuhudia uzinduzi huo kutoka
kushoto ni Meneja Uhusiano wa Mambo ya Nje wa Vodacom Tanzania Salum
Mwalim, Mwenyekiti wa Kijiji cha Lukanga Bw Enos Malale na Meneja wa
Vodacom Foundation Mwamvua Mlangwa. Mnara mpya wa Vodacom uliozinduliwa katika kijiji cha Lukanga Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.Kabla ya Vodacom kujenga mnara huo, kijiji hicho hakijawahi kuwa na huduma za uhakika za simu za mkononi.
0 comments:
Chapisha Maoni