Searching...
Jumanne, 14 Mei 2013

MBEYA YAENDELEA KUKUMBWA NA JINAMIZI LA AJALI,ANGALIA AJALI INGINE HIYO YA LEO ILIYOUA WATU WATATU.

JINAMIZI  LA AJALI LINAZIDI KUIKUMBA MBEYA WATU WATATU  WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA ROLI LA KAMPUNI YA KICHINA LILILOKUWA LIMEBEBA KIFUSI KUKATIKA BREKI NA KUPINDUKA MAENEO YA MWANSEKWA BARABARA YA CHUNYA MCHANA WA SAA 7 MPAKA SASA MAITI MBILI ZIMETAMBULIWA NA MOJA IMEHARIBIKA VIBAYA SANA KIASI CHA KUSHINDWA KUTAMBULIWA 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!