 Pichani
ni baadhi ya majengo ya Shule ya Msingi Rongai, wilayani Rombo. Shule
hii ni miongoni mwa maeneo yanayoathiriwa na uvamizi wa tembo waharibifu
ambao huathiri taaluma shuleni hapo. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, Judethadeus Mboya akizungumza na mtandao wa www.thehabari.com hivi karibuni wilayani Rombo kuhusiana na tembo hao.
Baadhi ya mashamba ya wananchi eneo la Rongai, wilayani Rombo ambayo mara kadhaa huvamiwa na tembo waharibifu.
|
0 comments:
Chapisha Maoni