Searching...
Jumanne, 7 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA UKIWA NA TAHADHARI YA UPEPO MKALI.



   WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 07/05/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mkoa wa Kigoma  ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika
maeneo  machache na vipindi  vya  jua.

[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Mbeya na Iringa]:

Hali ya mawingu kiasi , mvua nyepesi katika
maeneo machache  na vipindi  vya  jua.

[Mikoa ya Rukwa,  na Ruvuma]  :
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora]:
[mikoa ya Mtwara na Lindi]



Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.

TAHADHARI:  UPEPO MKALI ZAIDI YA KM 40 KWA SAA UTAKAOAMBATANA NA  MAWIMBI MAKUBWA        
                         YANAYOZIDI MITA 2.0  UNATARAJIWA KATIKA  UKANDA WOTE WA PWANI.TAFADHALI        
                        CHUKUA TAHADHARI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C               
12:30
D'SALAAM
32°C           
12:15
DODOMA
27°C
12:30
KIGOMA           
29°C
12:55
MBEYA
22°C
12:36
MWANZA
29°C
12:45
TABORA
29°C
12:43
TANGA
28°C
12:18
ZANZIBAR
26°C           
12:15
PEMBA
30°C           
12:18
MOROGORO
28°C           
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka  Kusini kwa kasi ya km 50 kwa saa katika Pwani  yote

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa.

          Matazamio kwa usiku wa leo Jumanne: 07/05/2013: Mabadiliko kidogo.

          Utabiri huu umetolewa leo tarehe 07/05/2013.
 
          Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!