Searching...
Jumanne, 14 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA TAREHE 15/05/2013-JUMATANO



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 15/05/2013.

[Mkoa wa Mara,]:

Hali ya mawingu kiasi, na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
 [Mikoa ya Tanga, Dar Es Salaam na Pwani]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika
maeneo  machache na vipindi  vya  jua.

[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo  machache na vipindi  vya  jua.

[Mikoa ya  Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Morogoro Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya Rukwa, Kigoma na Ruvuma]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               21°C               
12:29
D'SALAAM
           32°C           
12:12
DODOMA
28°C
12:28
KIGOMA           
29°C
12:53
MBEYA
21°C
12:33
MWANZA
29°C
12:44
TABORA
29°C
12:41
TANGA
31°C
12:16
ZANZIBAR
          30°C           
12:12
PEMBA
            29°C           
12:16
MOROGORO
            31°C           
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka   Kusini  kwa Pwani  ya   Kaskazini na kutoka   Kusini-mashariki  kwa Pwani  ya   Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano: 15/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 15/05/2013. 

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!