RAIS GOODLUCK JONATHAN WA NIGERIA.
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ametangaza hali ya hatari katika
majimbo matatu nchini humo ya Borno, Yobe na Adamawa, na kuamrisha wanajeshi zaidi wapelekwe
katika majimbo hayo ili kukabiliana na kundi la Kiislamu la Boko Haram.
0 comments:
Chapisha Maoni