Searching...
Jumatatu, 13 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA MAY 15-JUMATATU



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 13/05/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mwanza, na Mara,]:
[Mkoa wa Kigoma]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

[Mikoa ya Tanga, Dar Es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi na mvua katika
maeneo  machache na vipindi  vya  jua.
[Mikoa ya Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi mvua katika maeneo  machache na vipindi  vya  jua.
 [Mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora]:
Mikoa ya Morogoro na Shinyanga]:
[Mikoa ya Rukwa na Ruvuma]:



Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C               
12:29
D'SALAAM
31°C           
12:12
DODOMA
29°C
12:28
KIGOMA           
29°C
12:53
MBEYA
24°C
12:33
MWANZA
28°C
12:44
TABORA
30°C
12:41
TANGA
31°C
12:16
ZANZIBAR
30°C           
12:12
PEMBA
30°C           
12:16
MOROGORO
31°C            
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka   Kusini  kwa kasi ya km 30 kwa saa katika Pwani  ya Kaskazini na kutoka Kusini-mashariki kwa Pwani  ya Kusini

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi .

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatatu: 13/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 13/05/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!