WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 04/05/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma ]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Dar Es Salaam,
Pwani na Tanga]:
Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya mawingu , mvua katika
baadhi ya
maeneo na vipindi
vya jua.
|
|
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro na
Iringa]:
|
Hali ya mawingu kiasi ,
mvua katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
|
|
[Mikoa ya Mtwara , Lindi na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
|
. Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
TAHADHARI:
TUNARAJIA KUWA NA ONGEZEKO
LA MVUA KATIKA MIKOA YA TANGA, PEMBA NA UNGUJA
TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
20°C
|
12:30
|
D'SALAAM
|
30°C
|
12:15
|
DODOMA
|
27°C
|
12:30
|
KIGOMA
|
26°C
|
12:55
|
MBEYA
|
20°C
|
12:36
|
MWANZA
|
27°C
|
12:45
|
TABORA
|
29°C
|
12:43
|
TANGA |
30°C
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:15
|
PEMBA
|
28°C
|
12:18
|
MOROGORO
|
32°C
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka
Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa katika Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa
Pwani ya Kusini
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi
Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi:
04/05/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 04/05/2013.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni