Katibu
mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Dr. Richard Sezibera leo
amefungua rasmi kongamano la waandishi wa Habari Tanzania pamoja nchi
wanachama wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika kuadhimisha ya siku
ya uhuru wa vyombo vya Habari Duniani uliobeba kauli mbiu “USALAMA NA
MAZINGIRA BORA YA KUFANYIA KAZI KWA WAANDISHI WA HABARI NA WAARIRI
AFRIKA YA MASHARIKI”
Jumamosi, 4 Mei 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni