Searching...
Jumanne, 28 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO MAY 28 JUMANNE



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 28/05/2013.


[Mikoa ya Mara, Kagera na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo  katika  maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga , Dar es Salaam na Pwani]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua
[Maeneo ya miinuko ya Mkoa wa Mbeya]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua
[Mkoa wa Mwanza]:


Hali ya mawingu kiasi,  ngurumo  katika  maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Morogoro , Iringa, Rukwa  na Ruvuma]:
 [Mikoa ya Lindi, Shinyanga na Mtwara]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Singida na Dodoma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C               
12:28
D'SALAAM
32°C           
12:11
DODOMA
29°C
12:26
KIGOMA           
28°C
12:52
MBEYA
23°C
12:31
MWANZA
30°C
12:43
TABORA
31°C
12:40
TANGA
32°C
12:15
ZANZIBAR
31°C           
12:11
PEMBA
29°C           
12:04
MOROGORO
30°C           
12:18

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Masharikina kwa kasi ya km 20 kwa saa; kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumanne 28/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 28/05/2013.

  Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!