Searching...
Jumapili, 26 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO JUMATATU MAY 27,2013 UKIWA NA ANGALIZO



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 27/05/2013.


[Mikoa ya Mara, Kagera na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo  katika  maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga , Dar es Salaam na Pwani]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
 [Maeneo ya miinuko ya Mkoa wa Mbeya]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua

[Mikoa ya Morogoro , Iringa, Rukwa  na Ruvuma]:
 [Mikoa ya Lindi, na Mtwara]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Singida na Dodoma]:
 [Mikoa ya Kigoma  na Shinyanga]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO:
UPEPO MKALI UNAOKADIRIWA KUWA NA KASI YA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA  YANAYOFIKIA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA  BAADHI YA MAENEO YA PWANI YOTE.TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                24°C               
12:28
D'SALAAM
             32°C           
12:11
DODOMA
29°C
12:26
KIGOMA           
30°C
12:52
MBEYA
23°C
12:31
MWANZA
30°C
12:43
TABORA
31°C
12:40
TANGA
32°C
12:15
ZANZIBAR
          31°C           
12:11
PEMBA
           30°C           
12:04
MOROGORO
           31°C           
12:18
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Masharikina kwa kasi ya km 40 kwa saa; kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatatu 27/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 27/05/2013.

  Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!