WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 06/05/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mkoa wa Kigoma ]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Dar Es Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya mawingu kiasi na mvua
katika
maeneo machache na vipindi vya
jua.
|
|
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara
na Lindi]:
|
Hali ya mawingu kiasi ,
mvua nyepesi katika
maeneo machache na vipindi
vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dodoma, Singida
na Tabora]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
TAHADHARI:
UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 UNATARAJIWA KATIKA
BAADHI YA MAENEO YA
PWANI YA KUSINI.TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
12:30
|
D'SALAAM
|
30°C
|
12:15
|
DODOMA
|
27°C
|
12:30
|
KIGOMA
|
29°C
|
12:55
|
MBEYA
|
24°C
|
12:36
|
MWANZA
|
28°C
|
12:45
|
TABORA
|
30°C
|
12:43
|
TANGA |
27°C
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
26°C
|
12:15
|
PEMBA
|
27°C
|
12:18
|
MOROGORO
|
27°C
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka
Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa katika Pwani ya
Kaskazini na
kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya
Kusini
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa.
Matazamio
kwa usiku wa leo Jumatatu: 06/05/2013: Mabadiliko
kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 06/05/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni