Searching...
Jumanne, 21 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO JUMATANO MAY 22


WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 22/05/2013.

[Mikoa ya, Njombe  na Mbeya ( Katika Maeneo ya Miinuko)]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Kagera  na  Mara.]
Hali ya mawingu kiasi ,ngurumo katika  maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa ya Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya, Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Rukwa, Ruvuma ,Lindi, na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
   
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               23°C               
12:28
D'SALAAM
            31°C           
12:11
DODOMA
 29°C
12:26
KIGOMA           
 30°C
12:52
MBEYA
 22°C
12:31
MWANZA
 30°C
12:43
TABORA
 29°C
12:40
TANGA
 31°C
12:15
ZANZIBAR
             30°C           
12:11
PEMBA
             30°C           
12:15
MOROGORO
             30°C           
12:18

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka  Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani  ya kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa pwani ya kusini.                      

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi .

Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano: 22/05/2013: Mabadiliko kidogo.

 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 22/05/2013. 

 Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!