Searching...
Jumatano, 15 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO ALHAMISI MAY 16.05.203



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 16/05/2013.

[Mkoa wa Kagera,]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya  Mara na  Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar Es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo  machache na vipindi  vya  jua.

[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
 [Mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Morogoro,Ruvuma,Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya Shinyanga,Rukwa na Kigoma]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
12:29
D'SALAAM
30°C           
12:12
DODOMA
27°C
12:28
KIGOMA           
30°C
12:53
MBEYA
21°C
12:33
MWANZA
30°C
12:44
TABORA
29°C
12:41
TANGA
30°C
12:16
ZANZIBAR
30°C           
12:12
PEMBA
30°C           
12:16
MOROGORO
28°C           
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka   Kusini  kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani  ya                       Kaskazini na kutoka   Kusini-mashariki  kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani  ya   Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi.

 Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi: 16/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 16/05/2013. 

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!