WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-246077
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 12/05/2013.
|
[Mikoa ya Kagera, Mwanza,
Shinyanga na Mara,]:
[Mkoa wa Kigoma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Tanga, Dar Es
Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mkoa wa Mbeya na Iringa]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
mvua katika
maeneo machache na vipindi vya
jua.
|
|
[Mkoa wa Mtwara na Lindi]
[Mikoa ya Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida
na Tabora]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
|
ARUSHA
|
24°C
|
12:29
|
|
D'SALAAM
|
30°C
|
12:12
|
|
DODOMA
|
30°C
|
12:28
|
|
KIGOMA
|
28°C
|
12:53
|
|
MBEYA
|
25°C
|
12:33
|
|
MWANZA
|
26°C
|
12:44
|
|
TABORA
|
30°C
|
12:41
|
TANGA |
28°C
|
12:16
|
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:12
|
|
PEMBA
|
29°C
|
12:16
|
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:19
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka
Kusini-mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa katika ukanda
wote wa Pwani .
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi .
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumapili: 12/05/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 12/05/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni