Searching...
Alhamisi, 2 Mei 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MEI MOSI MBEYA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi wengine kuimba wimbo wa 'Solidarity Forever' wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TUCTA Philemon Mgaya,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mhe.Gaudensia Kabaka, Kaimu Rais wa TUCTA Bibi Nortubunga Maskini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Mh.Abdulrahman Kinana.

Baadhi ya wafanyakazi wakishiriki katika maandamano  yaliyofanyika wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi  katika Uwanja wa michezo  wa Sokoine mjini Mbeya. (picha na Freddy Maro)


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!