Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la Mau katika kaburi la Marehemu
Balozi Afred Tandau wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika
makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo jioni na kuhudhuriwa na
viongozi mbalimbali wa kitaifa.
Rais
Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Waziri wa
Zamani wa Kazi ,Marehemu Balozi Alfred Tandau wakati wa mazishi
yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Marehemu
Alfred Tandau ambaye alishika nyadhifa mbalimbali serikalini alifariki
tarehe 30 Mwezi Aprili wiki iliyopita.
(Picha na Ikulu).
0 comments:
Chapisha Maoni