Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan
Mwinyi, Mzee Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu wa
Umoja wa Afrika Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim kuhusiana na sherehe za
miaka 50 ya AU alipokutana nao jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Mei
26, 2013. Viongozi hao wastaafu ni miongoni mwa wageni mashuhuri
walioalikwa kwenye sherehe hizo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na sherehe za
miaka 50 ya AU alipokutana nao jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Mei
26, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano
wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC na
nchi za Maziwa Makuu katika makao makuu ya Umoja wa Afrika leo Mei 26,
2016





0 comments:
Chapisha Maoni