Searching...
Jumatatu, 20 Mei 2013

POLISI WALIVYOVYAMIA IRINGA

GARI LA POLISI LIKIINGIA KWENYE ENEO LA TUKIO
 mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili  eneo la vurugu kabla  ya kuanza kwa  vurugu  hizo
 Mbunge Msigwa akiondoka  eneo la mashine  tatu 
 Machinga  wakisukuma gari ya  mbunge Msigwa 
 Polisi  wakimfuatilia  mbunge Msigwa kwa  nyuma baada ya  kufika eneo hilo  bila kufanya biashara kama alivyoahidi
Polisi  wakianza  kufukuza  wananchi  eneo hilo

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!