Mkurugenzi
Mtendaji wa CONCERN-Tanzania Bw. James Davey kushoto akieleza namna
shirika lake litakavyo tekeleza mradi huo,Katikati ni Mhe.Naibu Waziri
Ummy Mwalimu na Kulia ni Balozi wa EU nchini Mhe. Filberto Cerian
Sebregondi.
Katika
Picha ni Uzinduzi wa Mradi wa Kuwainua Wanawake Kiuchumi na
Kijamii,Mradi unaotekelezwa na Shirika la Kimataifa la CONCERN Tanzania
katika Mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kasulu,Kigoma na Masasi. Mradi huo
Unafadhiliwa na European Union, Umezinduliwa leo jijini Dra es Salaam
katika Ofisi za CONCERN Tanzania na Naibu Waziri wa Maendeleo ya
Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe, Ummy Mwalimu.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Mhe.Ummy (katikati ) akielezea namna
Wizara inavyowasaidia wanawake kujiinua Kiuchumi na Kijamii. Kushoto
kwake ni .Balozi wa EU nchini Mhe.Filberto Cerian Sebregondi.
Balozi
wa EU nchini Mhe. Filberto Cerian Sebregondi (katikati) akiteta jambo
na Mhe.Ummy Mwalimu Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii(kushoto) na
MKurugenzi wa Shirika la CONCERN _Tanzania Bw. James Davey

| Sehemu ya Wageni waliohudhuria Uzinduzi huo |



0 comments:
Chapisha Maoni