HIZO NI PICHA MBALIMBALI KAMA ZILIVYOCHUKULIWA NA MPIGA PICHA WA BLOG HII MAPEMA LEO ASUBUHI WAKATI VIKUNDI ZAIDI YA KUMI VILIVYOKUWA VIKIKIMBIA MCHAKA MCHAKA KATIKA BARABARA YA COCACOLA MIKOCHENI JIJINI DSM NA KUSABABISHA ADHA KUBWA YA WATUMIAJI WA BARABARA HIYO.
....CHINI NI MSONGAMANO WA MAGARI ULIOSABABISHWA NA MCHAKA MCHAKA HUO.
0 comments:
Chapisha Maoni