MH.PETER MSIGWA
JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA LINAMTAFUTA MBUNGE WA IRINGA MJINI KWA TIKETI YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMMA MHESHIMIWA PETER MSIGWA KWA TUHUMA ZA KUDAIWA KUCHOCHEA VURUGU KWA WAMACHINGA KUTUMIA ENEO LISILORUHUSIWA KWA BIASHARA AMBAPO TAARIFA ZA JESHI HILO ZIMEIAMBIA RADIO ONE STEREO KWAMBA HADI SASA WATU 50 WAMEKAMATWA NA GARI LA ZIMAMOTO LIMEHARIBIWA NA WAANDAMANAJI HAO KWA KULIPASUA KIOO.
HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA MJINI IRINGA ASUBUHI YA LEO BAADA YA JESHI LA POLISI KUAMUA KUTUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WAANDAMANAJI WANAODAIWA KUHIMIZWA NA MBUNGE WA IRINGA MJINI KUFANYA BIASHARA MAENEO YASIYORUHUSIWA

HABARI NA RADIO ONE STEREO!!
0 comments:
Chapisha Maoni