Searching...
Ijumaa, 24 Mei 2013

JWTZ YAKANUSHA VIKALI TAARIFA ZA KUWEPO KWA MABOMU HAPA NCHINI YALIYOTUPWA KUTOKA NCHINI MALAWI

 

Kufuatia taarifa ya ujumbe wa simu unaosambaa kwa kasi kwa wananchi na pia kuingia kwenye mitandao ya kijamii BLOG hii imeamua kupata uhakika kutoka kwa jeshi letu ambapo msemaji wa JWTZ Kanali kapambala Mgawe amesema hizo ni taarifa za uongo na kuwataka wananchi kupuuza ujumbe huo na kuendelea na shughuli zao kama kawaida 


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!