Searching...
Jumatano, 29 Mei 2013

HIVI UNAJUA NGWAIR ALIJITABIRIA KIFO?SIKILIZA WIMBO WAKE ALIOUIMBA KABLA YA KWENDA SOUTH NA BADO ULIKUA HAUJAKAMILIKA

 

ALBERT NGWAIR
Siku zote inasemekana binadamu akikaribia kuondoka duniani anajua ila uwezo wa kusema kwamba nakufa na kuwaaga watu uwezo huo wamepewa watu wachache sana...hembu msikilize NGWAI alivyotamani kusema au kuaga lakini akashindwa akaaga kwa njia ya wimbo huu hapa....

Binadamu tunazaliwa na tena tunadanja ,kila mmoja atafukiwa kifo hakina ujanja,wewe ulikua kama rafiki .......najua mnajua kusahau sio rahisi,wote tunapita ipo siku mtanimiss,kama nikiondoka leo au kesho isiwe tabu,tunakula kwa jasho ila kifo hakina adabu,nitammiss dad,nitammiss mama, nitaimiss east zoo,nitaimiss dodoma,nitaimiss k,nyama,nitaimiss Dar es salama,nitaimiss kinondoni na nitawamiss wanyalu,Binadamu tunakuja tunapita,hata nikiondoka mimi ipo siku mtanifuata...pumzi hupotea kama upepo leo tunapumua ila kesho haitokuwepo 
Hayo ni baadhi tu ya maneno yaliyopo kwenye verse ya kwanza...verse ya pili ndio ukiwa na moyo mwepesi lazima chozi likutoke...Muda sio mrefu nitakuwekea wimbo wake hapa uweze kuusikiliza mwenyewe
REST IN PEACE NGWAIR

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!