Hili ndilo basi la Taqwa baada ya kupata ajali mbaya
(Picha zote na mdau Francis Godwin)
Hii ndio ajali mbaya iliyoua 7 Iringa
jamaa akishangaa kilichotokea katika eneo la tukio
Majeruhi wa ajali hiyo mbaya.
hilo ndilo gari lililogongana na basi la Taqwa na kujeruhi watu wengi na sita kufariki dunia.
0 comments:
Chapisha Maoni