Searching...
Jumatatu, 20 Mei 2013

DR.MASSAU ALIVYOAGWA JANA KATIKA HOSPTALI YA AGHAKAN JIJINI DAR ES SALAAM

Jeneza lenye mwili wa Dk. Massau.
   Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia) akitoa heshima zake.
Padri akisoma ibada katika hafla hiyo.
Umati wa watu uliofika kutoa heshima zao hospitalini hapo.
Mjane wa marehemu (wa tatu kulia) na mwanaye wa kiume wakishiriki kuuaga mwili wa marehemu Masaau.
Wasifu wa marehemu ukisomwa na Amon Mkangala.
Waombolezaji wakiingia kuuaga mwili wa marehemu.
ALIYEKUWA Mtaalam wa Magonjwa ya Moyo katika Hospitali ya Tanzania Heart Institute, Dk. Ferdinand Massau, aliyefariki katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Alhamisi wiki hii kwa kupata mshituko, aliagwa leo asubuhi katika hospitali hiyo na ndugu, jamaa na marafiki kabla ya kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake na hatimaye kwenda Ukerewe, mkoani kwa ajili ya mazishi.
HABARI/PICHA: CHANDE ABDALLAH

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!